Misamiati itumikayo vyuoni

Misamiati itumikayo vyuoni

wanajamii habari zenu , natumaini ni wazima wa afya tele... pili napenda kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza ningeomba wanajamii tujikumbushe misamiati na slang zinazotumika kwenye mavyuo hii itaoa msaada kwa wenzetu wanaojiunga sasa kuwa na awareness na hayo maneno au hiyo misamiati
binafsi nimepita pale MLIMANI aka The Hill aka Hekima ni uhuru... UDSM
baadhi ya maneno niliyokuwa nayasikia na mengine kuyatumia kipindi nasoma ni kama
MADESA/DESA-hili neno lina maananisha materials ya kujisomea, notices,tutorial,seminar paper ,handout, nk
KUNJI-hili neno maarufu sana kwa walewapigania haki wanalijua sana maana ake ni MGOMO
KIMEO/SAP- supplimentary (kurudia mitihani kwa kutovuka kiwango kilichowekwa)
DISCO-DISCONTINUE (kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu za kitalumaa /kufeli)
CONFERENCE-kipindi cha supplementary examinations.
MDIGRII- eneo lenye miti mikubwa karibia na utawala mlimani sisi usajili tulifanyia pale..
REV SQUARE -revolution square eneo karibia na cafteria one na two mlimani (udsm) ambapo mikutano mingi kipindi cha kudai haki ufanyika
CHAPEL-kanisa litumikalo kuabudu na wakristo wa madhehebu mbalimbali liko njia ya kuelekea HALL SIX na SEVEN na changanyikeni
MSAUD-msikiti chuo kikuu mlimani/pia ni jumuiya ya waislamu mlimani..
RB-RICE and beans wali maharage..
BINARY/PASI NDEFU/LAMPARD/ONE ZERO ONE /-KULA MLO MMOJA AU MIWILI KUTOKANA NA UCHUMI
BOOM-pesa ya kujikimu kwa ajili ya chakula na malazi
VIMBWETA -madawati / ya zege ya kusomea COET wanaita SLAB
MNAWEZA KUONGEZA MENGINE KUTOKANA CHUO ULICHOPO NA KIPINDI ULICHOKUWA UNASOMA

NAWASILISHA
UPDATE ZA WADAU

Hiyo EXILE naifananisha na kitu moja pale BUCHS sasa CUHAS "KUADMIT" wakimaanisha kuvuta demu na kulala nae ucku kucha.
EXILE NI PALE KUSHARE VYUMBA KULIPOANZA SASA MMOJA WENU AKIPATA MWENZA!! THEN TH REST MNAONDOKA AMA KUPI STORY VYUMBA VINGINE AMA LIBRARY NDO EXILE NA MAARUFU ILIKUWA HALL V!!!!!
 
JE KCC? - demu cheap ambaye si mwanachuo yeye kudate msomi wa mlimani ni tija!!
iINFANTRIA- Demumwanafunzi akiwa na booyfriend wake naye mwanafunzi basi huyo mwanafunzi wa kiume kwa girlfriend wake ni Infantria maana askali wa miguu mpiganaji= kutafuta madesa kumfanyia assignments n.k
Je wewe uliwahi kuwa infantria!!!!!
 
Jembe----mkali wa shule i.e yupo vizuri kwa somo flani au hata masomo yote so anawasaidia wenzangu na mimi
kamati----kwenye pepa hukaa watu kama 5 hivi...."jembe" hukaa mkao fulani wa kuwapiga tough wanakamati wenzake...issue ikistukiwa jembe linahamishwa nomaaaaa
 
First Degree by Thesis ===Binti aliyefungasha ushuzi
First Degree by coursework= Binti mwenye umbo namba 8
We kitopu Kitopu ====== ki****to......mba punda njoo
Exile ....................jamaa amewafungia nje ya chumba, wanagegedana na mwenyie
Familia Bora ..........hili ni kundi la vijana (wanaosoma pamoja na wenye lengo la kubebana ktk masomo), lilikuwa likikaa pamoja wakati wa mitihani
 
matango pori/sumu-----madesa ya uongo....
kutoboa------kupiga book usiku kucha hii hata secondari ipo na ndo kwa sana
Kushikwa------supplimentary
 
Back
Top Bottom