Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

Bujibuji asante kwa uzi huu wa ligha. Nazijaz, Decoder ni kisimbuzi na siyo king'amuzi. Ukirejea kamusi ya TUKI, ng'amua ni discover, realise au find out. Il'hali simbua ni decode. Hii ndiyo mizizi ya nomino mbili hizo Kizimbuzi na king'muzi.
 
Mkuu si tumepata msamiati mpya lakini wa kompyuta ama? Kwa hiyo hapo kwenye laptop badala ya kusema kompyuta ya kupakata kama ulivyosema tuiite ngamizi mpakato au wewe unaonaje ebu mkuu Bujibuji tusaidie kwa hilo
 
Hata mimi wa Ireland uzi huu unanipendeza sana sana! Nitajumuisha maneno hayo kwenye Kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi ambyo inapatikana bure bilashi kutoka klfmzungu@gmail.com
 
kweli kabisa mkuu tunaweza kufanya vyema kuliko "Kichakata matini" hata kwenye simu "rununu" nayo sidhani kama inafaa aliyekuja na haya maneno inabidi asishirikishwe tena kwenye hii issue
Ha ha ha mkuu nimecheka halafu wife na watoto hawajui nacheka nini. Duh we mkali
 
Taratibu kiswahili kinaelekea kuwa kimakonde so kimakonde, kinyamwezi si kinyamwezi, ilimradi tafrani, eti kichakata matini... wacha nikae kimya. Bora kutohoa maneno kuendana na ulimwengu wa teknolojia kuliko kutunga mapya
 
Bujibuji asante kwa uzi huu wa ligha. Nazijaz, Decoder ni kisimbuzi na siyo king'amuzi. Ukirejea kamusi ya TUKI, ng'amua ni discover, realise au find out. Il'hali simbua ni decode. Hii ndiyo mizizi ya nomino mbili hizo Kizimbuzi na king'muzi.
swadakta
 
Mkuu si tumepata msamiati mpya lakini wa kompyuta ama? Kwa hiyo hapo kwenye laptop badala ya kusema kompyuta ya kupakata kama ulivyosema tuiite ngamizi mpakato au wewe unaonaje ebu mkuu Bujibuji tusaidie kwa hilo
Nasikia kuna msamiati KIDADAVUZI MPAKATO.
 
Naomba tafsiri ya "shredder" - kifaa cha ofisi cha kukata kata vipande vipande ukaratasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…