Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
calculator-kikokotozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si tumepata msamiati mpya lakini wa kompyuta ama? Kwa hiyo hapo kwenye laptop badala ya kusema kompyuta ya kupakata kama ulivyosema tuiite ngamizi mpakato au wewe unaonaje ebu mkuu Bujibuji tusaidie kwa hiloSasa hapo nd'o umeanza kazi! Asante sana kwa mchango wako! Kwangu mimi mwandishi wa habari, nahitaji sana kujua misamiati mipya ya Kiswali kila inapochipuka! Siju nichangie lau neneo moja?
Ntarejea baadaye na misamiati mingine.
- Microwave ni wimbi mikro
- Laptop ni kompyuta ya kupakata
- Calculator ni kikokotoo
- Air conditioner (AC) ni Kiyoyozi
Kwa kawaidha, mimi natumia "barafu" kwa sehemu ya juu na "jokofu" kwa sehemu ya chini yenye ubaridi wa hali ya juu.Fridge-jokofu
Hata mimi wa Ireland uzi huu unanipendeza sana sana! Nitajumuisha maneno hayo kwenye Kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi ambyo inapatikana bure bilashi kutoka klfmzungu@gmail.comBujibuji asante kwa uzi huu wa ligha. Nazijaz, Decoder ni kisimbuzi na siyo king'amuzi. Ukirejea kamusi ya TUKI, ng'amua ni discover, realise au find out. Il'hali simbua ni decode. Hii ndiyo mizizi ya nomino mbili hizo Kizimbuzi na king'muzi.
Ha ha ha mkuu nimecheka halafu wife na watoto hawajui nacheka nini. Duh we mkalikweli kabisa mkuu tunaweza kufanya vyema kuliko "Kichakata matini" hata kwenye simu "rununu" nayo sidhani kama inafaa aliyekuja na haya maneno inabidi asishirikishwe tena kwenye hii issue
KICHARAZIO =keyboardKeyboard ni BAOBONYE sio BAOBONYA
Mimi hapa napendelea "kaima,orodha,vikiwemo,vilivyomo" kutafsiri "menu"Matunzio-Gallery
Menyu-Menu
Mimi nafikiri kwamba neno "dilemma" afadhali liandikwe "mtanziko/mtanzuko" kwa kiSwahili.Sintofahamu= dialema
swadaktaBujibuji asante kwa uzi huu wa ligha. Nazijaz, Decoder ni kisimbuzi na siyo king'amuzi. Ukirejea kamusi ya TUKI, ng'amua ni discover, realise au find out. Il'hali simbua ni decode. Hii ndiyo mizizi ya nomino mbili hizo Kizimbuzi na king'muzi.