Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

===========

View attachment 364200
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.

Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana alitunukiwa cheti chake cha PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.

JamiiForums inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako.

Ni matumaini yetu wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.

Hongera mwayego...... When one door is closed many others are open..
Female circumsition....???
 
Hivi ni upi utofauti Kati ya daktari na profesa??
Udaktari ni degree ya tatu ya uzamivu (kuzama kwa undani katika fani). Uprofessa siyo degree, hutunukiwa mtu baada ya kufanya machapisho yenye kukubalika na jamii ya wasomi.

Jamii hiyo ya maprofesa humtunuku mtu baada ya kufikia viwango vinavyokubalika.
 
walimwita,misonyo mingi enzi zile za kipusa! Hongera dokta..
 
Nakumbuka sana zile RnB za nguvu alizokuwa anapiga kwenye kipindi hicho cha jioni kama vile thats what friends are for, am doing just fine, tell me its real e.t.c!!
Ongezea " I wanna love you forever " ya Jessica Simpson. Nakumbuka nikiwa high school chombeza time ilikuwa lazima ipigwe hii
 
Mbona umechelewa sana? Mimi siku niliyomuona Mrema akipita na farasi na matarumbeta City center Dar kuonesha degree yake basi tangu siku ile niliamini i can be anything i want.
Mrema's degree was not real, I think he bought the certificate for show only.
 
Ubarikiwe Misanya Dismass Bing.... Hii mada imenikumbusha akina Rose Chitala (RC Computer), akina Abdallah Hussein ( The Master Voice) akina Moses Justine (R.I.P) daaa
 
===========

View attachment 364200
Mtangazaji Mkongwe wa Radio nchini, DR. Misanya Bingi.

Aliyepata kuwa mtangazaji mahiri wa ITV ambaye sasa ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana alitunukiwa cheti chake cha PhD na sasa anajulikana kama Dkt Misanya Bingi.

JamiiForums inakupongeza kwa hatua hiyo na kukuombea wepesi huko kwenye uprofesa unakoelekea, hasa baada ya kutetea vyema andiko lako la "Female Circumcision" kwenye thesis yako.

Ni matumaini yetu wanafunzi wako wote hapo Sociology Dept. wanafurahi.

Hongera mwayego...... When one door is closed many others are open..

Dr kwa kukremisha
 
Back
Top Bottom