Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke siku zake si nyingi....
 
Kwa ujeuri,kiburi tuliyokuwa wanadam tungekuwa tunaishi milele si ingekuwa balaa
Kifo ndiyo kiboko ya mwanadamu
Na mungu alifanya jambo jema sana kutuwekea Kifo maana wanadam sisi ni washnz

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nafukua nyuzi za kututia moyo. Tusikate tamaa tunapopambana.
 
"Au misanya Bingi kila dakika naongea, unataka bring kama blue au hardcore kama Bodea"...
 
Back
Top Bottom