Misbehaviour of Employer and shouting that the employee will be sacked

james2002

New Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Dear All
Can some one advice what can an expat do if he finds his expat employer to be rude and abusive also announcing that the employee be sacked for no reason.The employer also claims to be very rich and well connected.
 
Yeah!
wapo ma employer wajingawajinga wa ivyo.Hata kuna mahali nilikuwa nafanya kazi kuna employer alikuwa anajibost na kusema "the exit door is open....".
Wapo sana.sijui sheria zinasemaje.
 
huyo anakuchimba mkwara tu...sababu keshajua weakness zetu wabongo hatujui haki zetu..akikifukuza kazi bila valid reasons...unampeleka CMA..mbele ya wizara ya kazi hapo..mitaa ya akiba macompensation, reinstatement yote waeza yadai so usiwaze..hamnaga connection wala nin amin hivyo
 
Yeah!
wapo ma employer wajingawajinga wa ivyo.Hata kuna mahali nilikuwa nafanya kazi kuna employer alikuwa anajibost na kusema "the exit door is open....".
Wapo sana.sijui sheria zinasemaje.

Yeah...hata kwetu wapo mkuu...mtu utafikiri kampuni yake au ya ukoo wao kumbe naye kaajiriwa tu.
 
aah...mbona solution iko simpo tu ila inataka employees muwe na umoja! mnaji-organize siku moja mnamsubiri anakuja ofisini kwake, mnamkunja na mnamnyang'anya simu zake zote na ile simu ya mezani mnai-disconnect! mnampa maneno ya vitisho vikali sana then adhabu yake mnamfungia ofisini kwake kama 8hrs! akitoka hapo atawaheshimu! angalizo: jambo hilo mlifanye as a team sio wengine wawe nyuma nyuma maana kama ni kuwafukuza hawezi kufukuza employees wote! pia muwe makini na vibaraka wake miongoni mwenu wakati mnapanga mikakati yenu! mkitimiza hilo mbona atakuwa bosi mshikaji!!!

njia mbadala ni kama ana mke ni kumfanyia blackmail. miongoni mwenu kama kuna mfanyakazi wa kike ambae bosi huwa anaonesha interest ya kumtaka basi mnamtumia. anajirahisisha kwa bosi but asiwe mwepesi wa kumvulia. then mnapanga mipango ya kuweka hidden camera katika chumba cha guest house watakachokwenda kujivinjari. camera itarekodi matukio. hizo picha mtaweka kwenye bahasha na meseji yenye ujumbe 'ukiendelea kutunyanyasa...your wife has to see these photos' otherwise tutaziingiza kwenye mtandao'. atakuwa mpole na mtakuwa mkimgeuza kama samaki kikaangoni.
:target::target::target:
 
Hujampa mbinu ya kupambana na situation kama hiyo as an individual
 
hebu soma topic yake. maelezo yake ni kwamba bosi yuko rude kwa employees na ana tabia ya kufukuza wafanyakazi anavyotaka yeye. kama leo kafukuza huyu then who is next?! kwa hiyo hapo inaonekana wanafanya kazi kwa hofu, so hilo ni tatizo la wafanyakazi wote! nimempa solution ya wafanyakazi wote as a team! upo?
 
Bahati mwanzisha mada ameeleza situation in both sides na wewe umempa solution but in condition kwamba lazima wawe na team spirit ndo watafanikiwa. Nadhani ingekuwa vizuri kama ungempa na mbinu za kukabiliana na hali hiyo akiwa peke iwapo hakuna team spirit.
 
njia mbadala ni kama ana mke ni kumfanyia blackmail. miongoni mwenu kama kuna mfanyakazi wa kike ambae bosi huwa anaonesha interest ya kumtaka basi mnamtumia. anajirahisisha kwa bosi but asiwe mwepesi wa kumvulia. then mnapanga mipango ya kuweka hidden camera katika chumba cha guest house watakachokwenda kujivinjari. camera itarekodi matukio. hizo picha mtaweka kwenye bahasha na meseji yenye ujumbe 'ukiendelea kutunyanyasa...your wife has to see these photos' otherwise tutaziingiza kwenye mtandao'. atakuwa mpole na mtakuwa mkimgeuza kama samaki kikaangoni.
[/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/COLOR][/FONT]:target::target::target:

asante kwa shauri mzuri. Samahani, una mke ama dadako ajitolee huo mtego.wa.picha za gesti hausi?
 
Ndugu, hakikisha unafanya wajibu wako kazini kama mkataba unavyotaka. Usifanyie kazi mdomo, taratibu za maandishi ziwepo. Na kama mkionewa na kufukuzwa basi mnaenda cma. Plz note, cma hauhitaji lawyer wala kuhonga. Process ni straight.

Ni PM jina la kampuni yenu na mahali ilipo niwasakizie watu wa labor waje kumchimba mkwala. Kama hautajali ni PM na cheo cha huyo mnyanyasaji ili wahakikishe wanamuona na kumnyoosha sawasawa.
 
asante kwa shauri mzuri. Samahani, una mke ama dadako ajitolee huo mtego.wa.picha za gesti hausi?

King'asti, tatizo lako unadhani lazima mpaka walengwa wafikie process ya kuvua nguo au ku-do! na sio lazima guest house, sehemu yoyote ya starehe like bar. kuna mtu anaweza akachukua picha kwa kamera ndogo sana ambayo hata haitoi flash light, wakati dadaa akimpiga busu kali! siku hizi kuna camera zimetengenezwa ktk mwonekano wa pen, saa, kofia au pete! na bei zake ni cheap tu! kama hujaelewa ni-PM nitakupa ufafanuzi zaidi.
 
Yeah....Njoo uyaone...mbona ya kawaida saana

Nimemuuliza mleta mada kwa this specific instance. Nilitaka kumtafutia wahusika sadly inaonekana kasepa.

Sie ma "expat"/ wabeba boksi wa Tanzania tulio nje ya nyumbani tunaweza ku sympathise.

Mnyamwezi na upuuzi wake wote labor laws anaziheshimu na kuna legal avenues kibao za kumnyoosha mwajiri mshenzi. Not to mention the competitive labor market itself does not allow ushenzi. Ukiletea wafanyakazi wako wenye talent ushenzi wakati kila siku wanapata emails kutoka kwa recruiters wanaotafuta wafanyakazi watakukimbia wote.
 
Hapo kwenye blue ndipo penye mzizi wa fitina mkuu,..huku kwetu ajira ngumu(mambo ya kupokea hizo emails za recruiters hamna)...wanatumia huu udhaifu wa ajira ngumu kuleta nyodo.
 
Back
Top Bottom