Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Lisondo lya nyakwe.....!
 

Kuna bajaji moja imeandikwa "wenye huruma hawafanikiwi" Nilitafakari sana sikupata majibu.
 
Kuna gari moja Yan Ni skrepa nyuma limeandikwa BABA AKO ANALO??hahahaha
 

nafsi ya mtu ni mtu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…