Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

IMG-20250130-WA0001.jpg
 
Somgo kwa wanasiasa
 

Attachments

  • 20240618_195115.jpg
    20240618_195115.jpg
    139.4 KB · Views: 43
Mwanza nako hawapo nyuma
 

Attachments

  • 20240829_162829.jpg
    20240829_162829.jpg
    76.6 KB · Views: 43

Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo.

Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo wanaandika. Ila semi wanazoandika madereva ni zile zinazokuwa katika bomba au ngao (nyuma chini).

  • Semi hizi zinabea maana kubwa sana ikiwa ni zaidi ya kufurahisha kwa wakati wake. Mfano,
  • Ukicheka na nyani utakula mabua.
  • Hata ukioga, mjini huendi.
  • Ulifikiri kumwambia baba yako HALLO kwenye simu ndiyo heshima?
  • Akikua ataacha!
  • Hata kwetu wapo.
  • Wanga sasa basi, ukimwi unatosha.
  • Mimba mnatoa, Ukimwi je ?
  • Jino moja mswaki wa nini?
  • Swali kabla hujaswaliwa.
  • Dume kwenye mfuko wa nyuma?
  • Usivue viatu kuna mbigiri.
  • Changanya na zako!!!
  • Unga robo, usicheze mbali.
  • Butua uwakomboe wenzako.
  • Si ulisema tamu, unalia nini?

Naomba utushirikishe semi ulizowahi au unazozisoma toka katika magari hayo.
"HAKUNA kibaya KIZURI"
 
Misemo ni mingi sana na kila siku kunakua na misemo mipya kweye mitaa mitandaoni' ila
Leo
nataka ushare
msemo
wowote ule ambao umewahi kuuona
kwenye bodaboda au gari ambao una
kautata
kidogo au au hata yenye kufurahisha! hata picha ya
huo msemo pia


1 Utelezi tu utamu
tunao""

2 Kitambi bila pesa ni
sawa na
mimba bila mume

3 Kaka mchunge mkeo
bodaboda
ni ya mkopo hii

4 Unabana nini' wakati
utazikwa nayo,,,

5 Unalinga nini sura yenyewe ya babaako?


ONGEZA NA WEWE
MINGINE
TUFURAHIE!!!
 
Back
Top Bottom