Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Boda hali mpaka akaliwe nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misemo mingine ni kuchokoza hisia za waungwana sasa!Ifwa munu!ndio misemo hiyo mkuu
SubhanAllah!Boda hali mpaka akaliwe nyuma.
Inabeba uhalisia uliopo ndani ya jamiiMisemo mingine ni kuchokoza hisia za waungwana sasa!Ifwa munu!
Tutaishi kwa machale sana.Bora uibiwe milioni kuliko kuibwa kwa mama Wakuru.Inabeba uhalisia uliopo ndani ya jamii
🙌🙌🤣Kwenye ndoa yako kuna watoto wetu
hii imetoka kwenye baiboKuna daladala imeandikwa
"Toshekeni na mishahara Yenu"
trafk wanalikwepa hata likiwa na kosa.
Luka 3;14hii imetoka kwenye baibo
.si ulicheka. Cheka tena
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo.
Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo wanaandika. Ila semi wanazoandika madereva ni zile zinazokuwa katika bomba au ngao (nyuma chini).
- Semi hizi zinabea maana kubwa sana ikiwa ni zaidi ya kufurahisha kwa wakati wake. Mfano,
- Ukicheka na nyani utakula mabua.
- Hata ukioga, mjini huendi.
- Ulifikiri kumwambia baba yako HALLO kwenye simu ndiyo heshima?
- Akikua ataacha!
- Hata kwetu wapo.
- Wanga sasa basi, ukimwi unatosha.
- Mimba mnatoa, Ukimwi je ?
- Jino moja mswaki wa nini?
- Swali kabla hujaswaliwa.
- Dume kwenye mfuko wa nyuma?
- Usivue viatu kuna mbigiri.
- Changanya na zako!!!
- Unga robo, usicheze mbali.
- Butua uwakomboe wenzako.
- Si ulisema tamu, unalia nini?
Naomba utushirikishe semi ulizowahi au unazozisoma toka katika magari hayo.
Ngoma ikaamua kulala kweli
😳mbona ghaflaIkisimama panda.