Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Kisu cha Ngariba ingine imeandikwa Hata ukiwahi kufika wenyeji hawakutambui
 
Hahahaaaa hii iliyoandikwa kwny gari ya manzese/kigogo ni noma..SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI..
 
Zamani wale mabaharia waliyokuwa wanamiliki mabasi ya abiria Kuna coaster moja ili andika " Italy trans" na kuna nyingine ili andika " time will tell"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…