Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1. Filisika ujue tabia za mkeo..!!
2. Kuku kala mchele , Jioni kaliwa na wali!!..
3. Kama sketi za shule zinakuchanganya mshonee mkeo...!!
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
6.Mjini shule, shamba kilimo
7.Konzi moja manundu elfu kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…