Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Utakula ulipopeleka mboga.

Heshima pesa shikamoo kelele

Heshima pesa ndevu uchafu

Penye urembo pana urimbo

Mapenzi pesa maua mpelekee nyuki


Baba ako analo?

Fanya yako
 
Kuna hii bajaji
 

Attachments

  • 1432139936747.jpg
    106.3 KB · Views: 1,270
Wakuu,

Majuzi nikijiandaa kuipanda Kitonga (Mkoani Iringa), nilijikuta nasoma ujumbe huu nyuma ya Lori hili. Ghafla nikaichukua hii picha na huku nacheka na kutabasamu. Hebu kama una PICHA za ujumbe wa MAGARI tuwekee tucheke na kuusoma.


 
Kama ni wewe ulikuwa una overtake hapo aise na unaona kabisa mstari unakukataza kufanya hivyo duh
 
"PhD in Life, in Jesus Christ" Unapiga picha ukitabasamu na kucheka? Kweli watu tunatofautiana sana.Mie sioni kitu cha kunifanya nitabasamu hapo!Labda hii ya MziziMkavu hapa chini ina element ya ucheshi kiasi.



View attachment 253339
 
Mkuu, katika madereva kumi wa Tz walioko barabarani ni wawili wanaelewa maana ya broken na continuous lines kwenye overtaking. Ni Majanga.

Mkuu Sibonike nakubaliana na wewe kabisa maana mstari hapo unamkataza kabisa kuovertake ila jamaa kakazania tuu na hapo mbele kunaonekana kuna kona pia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…