Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1. Watabakia vichaa tu!!!!
2. maisha ni kama gwaride....
3. pesa huna nguvu huna hata mkwara......
4. ikiuma sema.
5. ya kupepea...
6. mwanamke hasingiziwi mimba...
7. a.K.a Mume wangu..
8. mjasiliamali wa Loliondo!!!
9. hata ukipiga chabo pasu haupati.
10. kichaa kaongezewa dozi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…