Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1,usichezee koki utalowa
2.hakuna kijiji kinachokosa chizi
3.babu nae apewe.
4ukitaka kujua njia za mkato kula nauli
5.silaha pesa kisu mzigo
6.ukiogopa lawama huwezi kula nyama
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..

Nipishe nikanye!
 
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Dogo mfuko wa nyuma..
2. Baba yako analo..
3. Talanta.
4.Tulia upakatwe.
5.Hiki ndicho nilicho nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…