~Cheka nao lkn usiwaamini
~Swali Kabl hujaswaliwa
~Wallah sina habari
~Huwezi jua ina maan gani
~Kila usimamapo kuo mba samehe
~Lia na tabia yako usilaumu wenzao
~Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake
~Nipende usinipende bado utaniona tu
~Tanga raha
~Makorora wadeka