Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
kipare[emoji28] [emoji28]Kudua na kugosha chedi nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]hawara hana shukrani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Ukiona choo ndotoni usikitumie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Mapenzi pesa ufundi veta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]Kama una mbio...kimbia shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najaribu kuimagine vile mtu ametumia na kisha akashtuka
heshima yako mkuu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni balaa
Kwema kabisaheshima yako mkuu!
Duh'Mbu kwenye Pumbu hapigwi kofi'.
Jembe bila kuchomekewa mpini hilo si jembe.
Fumaniwa Yakupate Ya Mange Kimambi
duh hahah kwamba ya kupAte ya mange
mkuu kwani mange yalimpata yapi tena