Aisee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mwl wetu wa kiswahili alikuwa anaipenda sana hii mwl Abel.Kapigwa chini kavimba juu...
Kenya wanajuwa Kiswahili hicho?! Lazima hiyo Mombasa.
Kungwi ni mwanamke anayefundisha wanawake masuala ya ndoa kwa wanaoingia kwenye ndoa.