Mkuu niwie radhi, bahati mbaya kutokana na kubanwa mbavu kwa kicheko nilishindwa hata kuchukua picha unajua tena na kuchomekeana mitaani unaweza kuita traffic bure..Compliment na picha basi mkuu. Magari ya Mbagala ukiyavizia na Gongo la Mboto kabla hujapiga picha kwanza lazima mbavu zilegee. Full kicheko. Hawa jamaa wanafikiria sana
Kuna hii pia
'Kama mapenzi ni pesa kaolewe na ATM'