Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Habari zenu wana JF, nilkuwa na wazo la kuanzisha kampuni ya mahouse girl na house boy, mfumo wa kampuni yangu ni kama zilivyo kampuni za ulinzi, lakini nilipojaribu kumueleza rafiki yangu huu mpango wangu ilinipinga sana na kuniambia serikali haiwezi kuruhusu kampuni kama hii kwani hiyo itakuwa ni unyonyaji.
Kidogo labda nielezee itakavyokuwa na kufanya kaz zake, kwanza kika mwajiriwa atakatiwa bima ya afya, pili mwajiri kazma kampuni ijue anaishi wapi na ni kazi gani zinaenda kufanywa na mfanyakazi wetu na mwisho na sio mwisho wa malengo ya kampuni ni..mwajiriwa atapewa nafasi ya kukopa ndani a kampuni na hii itafanyika ikiwa ametimiza mwaka mmoja tangu aajiriwe.
 

Attachments

  • 1383375776224.jpg
    43 KB · Views: 4,911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…