Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Ahahahahaaaaa!!!!

Ewe punguani ujiitae @Tisha_Toto, unafikiri watu wote humu JF ni watoto wenzako wa kutishwa?

Sasa mimi nnakupa open challenge na nnakupa ruksa kama wewe ni mwanamme kweli:

By Tisha-TOTO


FaizaFoxy si mwanamke. Niki-reveal real ID yake hapa mtakuwa shocked - hell will break loose.

One thing - huyu jamaa ni hatari sana kwa humankind as long as anaendelea kuishi. Mark my words!!

Unakumbuka huo ujinga wako uliuandika wapi? ile nyuzi imefungwa ndiyo maana nimekuletea hukuhuku.

Nakupa u "reveal" hiyo ID yangu, ili watu wawe shocked, kama ulivyojidai. Yanini unaandikia mate na wino upo?

Na kama huna hiyo ID au hauna uhakika nayo, kesho ntakuwa Dar. Hapo Lumumba na Udoe, jengo la kona kabisa Ghorofa ya tano. Njoo uchukuwe copy ya ID yangu na kama wewe ni mwanamke au mwanamme kweli, onesha hapa uanamke wako au uanamme wako.

Ukishindwa ujijuwe upo wapi.

Hapo sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…