ENOS JAPHET
New Member
- Aug 8, 2014
- 2
- 0
Nimeipenda hii,IS COME IS GO"maana yake nini,sijui kingereza sana ila ninavyodhani Easy come easy go!!!kama nimekosea nisahihisheni wana jukwaa
Bila carolite
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..