Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Basi yule kuhani mkuu akanena!"ni kwa maombi ya nani miujiza hii?kwa ruhusa ya nani maombi hayo?hakika haya ni makufuru na siyatambui ,ondoeni vichwa hivi madhabahuni kwangu!majipu 06:7-17
Wasaidizi wa makuhani wakasemezana wao kwa wao "je ni nani kati yetu aliyeomba muujiza huu ?wale wasaidizi wakuu wakakana wakisema hakika hatutambui kufuru hii!
Mchecheto 05:7-17
 
Ha ha ha haaaa.... Basi wakainuka kwa pamoja na kisha wakapaaza sauti zao " Abarikiwe mama wa yule muagiza vichwa maana ni katika yeye pekee Mungu ametutendea maajabu tangu kuumbwa dunia na binadamu wote pale bustanini" Naye mfalme akapata kunena "hakika macho yangu yamepata upofu hata nisione jina na maandiko yote yaliyoandikwa juu ya kuteremshwa kwa vichwa hivyo kutokea mbinguni" .. (Kibiti 34:21-34)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Drimlaina
Kumekucha kadagala,hivi sasa ni saa 12 na dk 3
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…