Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
 
Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
Yeye ndo mwenye mamlaka asaidiweje wakat form alifata mwenyewe na HAPANGIWI,ameenda bandarini nyaraka zote zipo huko sisi tuna nyaraka za bandarini?!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
Amini nakwambia katika taifa la Jamii Forum kuna mgawanyiko wa majukwaa mbalimbali, ukiona huku kuna mizaha na upuuzi nenda kwingine na uyashike maneno haya ili usije kutukana tena. Jamii Forum 12:5-6
 
Kisha wakiwa wale wakamuuliza mfalme, je tutafidiwa uharibifu huu ulioletwa na janga hili?
Mfalme kwa majigambo akawauliza watu wale wenye huzuni kuu, je ni ufalme wangu uliotukuka uliyoyaleta yote haya? Nao wakajibu la hasha mfalme tuhurumie jmn twafaa. Mfalme akawaambia hakika nyinyi mmelaaniwa lile gonjwa kuu limetokea kwenu na bado kutetemeka bado ni nyie.
Baada ya kusema hayo ndipo mfalme akajitwalia na zile shekeli zote kutoka kwa wasamaria na kuondoka zake kimya kimya.
Washomile 1:20 25
 
Wale wafuasi wa mfalme sizonje wakiongozwa na bashite.
Walipagawa pepo wachafu wakapooza akili zao hata wasipate tambua miujiza ya mfalme uyo,
Naye mfalme akajitukuza mbele ya mataifa akamkufuru aliye juu na kutesa wanyonge hakika yaliyomkuta mfalme nebukadreza wa babeli yatamkuta mfalme uyu 2020 asema bwana wa majeshi.
Madaraka ya kulevya 7:4-8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…