TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
Hii itakua kutoka port 3:1 -4Mstari na kitabu umesahau mjomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakua kutoka port 3:1 -4Mstari na kitabu umesahau mjomba
Duh kumbe.ok sawa.Hilo andiko linaitwa CLOUDS YAMPONZA NAPE 1:8
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii itakua kutoka port 3:1 -4
Ally Saleh bana
Mkuu hii yako nimeiweka kwenye taswira kupitia kwa Jamaa wa Nyamagana sijui kwa nini
HahahaNimecheka mnooo
Yeye ndo mwenye mamlaka asaidiweje wakat form alifata mwenyewe na HAPANGIWI,ameenda bandarini nyaraka zote zipo huko sisi tuna nyaraka za bandarini?!Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Basi yule kuhani mkuu akanena!"ni kwa maombi ya nani miujiza hii?kwa ruhusa ya nani maombi hayo?hakika haya ni makufuru na siyatambui ,ondoeni vichwa hivi madhabahuni kwangu!majipu 06:7-17
Wasaidizi wa makuhani wakasemezana wao kwa wao "je ni nani kati yetu aliyeomba muujiza huu ?wale wasaidizi wakuu wakakana wakisema hakika hatutambui kufuru hii!
Mchecheto 05:7-17
Kuna mstari wako kautafute umeletwa na Daudi.. Lumumba 4:5-13Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
Amini nakwambia katika taifa la Jamii Forum kuna mgawanyiko wa majukwaa mbalimbali, ukiona huku kuna mizaha na upuuzi nenda kwingine na uyashike maneno haya ili usije kutukana tena. Jamii Forum 12:5-6Mi nadhani ndugu zangu ifikie hatua tukue kifikra. Tunapaswa tuendeshe mijadala yenye tija kuhusu vichwa vya treni itakayomsaidia Rais wetu JPM na sio mizaha na kejeli za kipuuzi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndipo makada wakajipiga vifua na kugalagala kwenye mavumbi kama chatu huku wakisema, "ewe Sizonje tuchukue utumwani milele"
Lumumba 4 : 5-13
Huyu ni mmoja wao kati ya wale waliogalagala kwenye mavumbi kama chatuKuna mstari wako kautafute umeletwa na Daudi.. Lumumba 4:5-13
Ndipo mfalme mtukufu wa makinikia akaviuliza vichwa vya treni, Nyie ni yatima au mna wazazi?