Misemo maarufu zaidi ya Yesu

Misemo maarufu zaidi ya Yesu

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Yohana 3:16
[16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Yohana 3:5
[5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.

Luka 6:31
[31]Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni vivyo hivyo.

Luka 6:29
[29]Akupigaye shavu moja, mgeuzie la pili, naye akunyang’anyaye joho yako, usimzuilie na kanzu.

Yohana 8:7
[7]Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

Karibu kwa michango
 
Na huu pia ni msemo wa yesu?


JamiiForums-293609699.jpg
 
Mathayo 24:22

Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.
 
Back
Top Bottom