displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Huu unabii hautakiwi kabisa,utapewa tafsiri za ajabu ajabu hapo kukwepa waarabuMathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu(Israel), nao watapewa taifa lingine (Tanzania)lenye kuzaa matunda yake.
Qur'an pamoja na yesu,ni gamble tu huko ufalme wa mileleYohana 15:1
Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.
Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
Huu unabii hautakiwi kabisa,utapewa tafsiri za ajabu ajabu hapo kukwepa waarabu