Mkuu, kilaza, ndoroboo, papuchi, kugegeda, mburula, kamanda, magamba, Vasco da Gama, wapigwe tu maana hamna namna nyingine.
Napenda ya mkuu, inaonyesha heshima kati ya members, haijalishi ni wa kike au wa kiume. Heshima level moja. Huwezi ikuta sehemu nyingine hii popote!