Misemo na maneno ambayo ukiingia JF ni lazima ukutane nayo

Misemo na maneno ambayo ukiingia JF ni lazima ukutane nayo

Mkuu, kilaza, ndoroboo, papuchi, kugegeda, mburula, kamanda, magamba, Vasco da Gama, wapigwe tu maana hamna namna nyingine.
Napenda ya mkuu, inaonyesha heshima kati ya members, haijalishi ni wa kike au wa kiume. Heshima level moja. Huwezi ikuta sehemu nyingine hii popote!
 
Mataga
Maushungi
Aibu naona mimi (imeadimika MO11 )
Mbususu
Utopolo
Makorokoro
Mwendazake
Katiba mpya
Tozo
Gwajiboy
Chanjo
 
Back
Top Bottom