Misemo na maneno ambayo ukiingia JF ni lazima ukutane nayo

Misemo na maneno ambayo ukiingia JF ni lazima ukutane nayo

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
-Mbulula

-Kugegeda

-Wazee wa buku saba(hii ni maarufu kule jukwaa la siasa)

-Mtaani kwetu(Katika jukwaa lilee la mambo yetu)

-Dhaifu

-Napita

-Mods

........
.........
Ongezea misemo mingine......
 
Fast jet

Vasco da gamma

anazeeka vibaya

Ukaguzi

Nimetendwa

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Khaa!
Kwa hyo,tukiandika jukwaa la dini tuimbe kwa ------ itakuwa nongwa?
 
Mia, mbunye,akili kubwa kuongoza akili ndogo,kakojoe na sasa kuna wazee wa dhifa

"To know the enemy is half the victory"
 
Mbona sikumbuki tena

Washasema yote mkuu
 
Back
Top Bottom