Misemo ya Mpoki jamani!

Kila police post ina counter lakin hawauz vinywaj
 
Masanja kuna dizaini kama huwa analazimisha watu kufurahi. Ila huyu jamaa na joti ni noma. Sema tu wanamfagilia JK.
 
'hata uwe naodha hodari namna gani,aendesh meli kwenye swimmingpool
 
Ka mapenz ni pesa olewa na benk n choo cha shimo hawaflash .......na aaaaah...
 
Kumbuka bahari huchafuka, lakini kamwe haishwo na sabuni.
 
Kumbuka moto haupulizwi kwa hewa toka puani.
 

I feel sorry for you too. Ungekuwa huku ungeelewa kwa nini wanaact vile. Ni maisha yetu ya ki-bongobongo yalivyo.
Mfano, chukulia mkaazi typically wa Tandale anunue gazeti la Daily News, si itakuwa kituko? Kule nenda kauze kiu, ijumaa, uwazi ndo litatoka. Kumbuka nimesema mkaazi typical wa Tandale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…