Mimi sina data kamili ila katika mashirika yote hayo bandari ni habari nyingine.habari wadau..
Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Tanesco muhasibu mwenye diploma analipwaje kaka..!TANESCO Analamba 1,070,000 PLUS (100,000 Housing Allowance+100,000 Transport Allowance) Non Taxable.
Nights Za Kutosha Sijakuwekea Mkuu.
925,000 PLUS (100,000 Housing Allowance+100,000 Transport Allowance) Non Taxable+750 units unauziwa kwa 9000 kila mwezi(Staff Rate). Ambayo uki calculate ni kama 260,000 ya umeme.Tanesco muhasibu mwenye diploma analipwaje kaka..!
Shukrani sana925,000 PLUS (100,000 Housing Allowance+100,000 Transport Allowance) Non Taxable+750 units unauziwa kwa 9000 kila mwezi(Staff Rate). Ambayo uki calculate ni kama 260,000 ya umeme.
Na Overtime.
Umepata kazi Tanesco nini Dada.Shukrani sana
Hapana Kaka, nataka nichangamkie fursa nafasi zikipatikana.Umepata kazi Tanesco nini Dada.
Sawa MUNGU atimize haja yako.Hapana Kaka, nataka nichangamkie fursa nafasi zikipatikana.
broooSawa MUNGU atimize haja yako.
[emoji120][emoji120][emoji120]Sawa MUNGU atimize haja yako.
Nambie Mtaalamu.brooo
1.2m Trainee baada ya miezi 6 inapanda.Na Mhasibu Tanesco Degree holder?
TBS wako vizuri zaidi ya TPAMimi sina data kamili ila katika mashirika yote hayo bandari ni habari nyingine.
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi Kama Technician pale TPA, salary yake plus allowances anakunja take home karibu 2.5m kila mwezi.
Boss Kwema!TBS wako vizuri zaidi ya TPA
Mkuu kwema next week nakuwa singida hapo town kikazi siku3 then natimkia kigoma.... Nitakucheki kwa simu tuonaneBoss Kwema!
TBS wenye Diploma wanakula ngapi mkuu?TBS wako vizuri zaidi ya TPA
Karibu Sana Boss wangu.Mkuu kwema next week nakuwa singida hapo town kikazi siku3 then natimkia kigoma.... Nitakucheki kwa simu tuonane