Mishahara iko Hivi Professional engineer hawezi kulipwa sawa na muhasibu mwenye degree, mainjinia salary scale zao ni kubwa kidogo, Angalia hata halmashauri, muhasibu mwenye degree ni 700k, engineer ni 900k, Wakati DAKTARI M. O analipwa Mara 2 ya muhasibu huko halmashauri, by the way Mshahara huo wa 1,070000 kwa injinia wa tanesco ni kidogo Bado tofauti yake na injinia wa halmashauri haijazidi hata 200k,
By the way Mishahara ya SERIKALI ni kidogo sana, kuna jamaa huku kitaa kapata kazi kwenye KAMPUNI kubwa sana ya kimataifa analipwa 5,000,000/- ambayo ni Mara 7 ya mtu wa degree za social science anayeanza kazi halmashauri ,
Kingine kuna Maodita, mawakili, masaveya, wabunifu majengo, watu wa tax ambao wamejiajiri hapo mjini wanapiga hela ndefu sana hadi 30M,