Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

We unafanya TANESCO ipi boss yenye njaa?😂 Wakati mshahara Wa Secretary wa TANESCO ndo mshahara wa ENGENEER wa HALMASHAURI and likewise
Sasa halmashauri inahusika vipi tena hapo linganisha na hizo taasisi alizoorodhesha mleta mada huo mshahara wa technician wa tanesco hautofautiana sana na wa technician wa taa,kadco, tanroads na taasisi zingine kibao asa sielewi we baharia unapagawa na nini na tanesco
 
Hahah Wamekufanya nini TANESCO kwani boss iko hivi TANESCO watu wanachovimbia ni zile nights mzee na Safari hasa ukipata Transimission ulizia vizuri kuna mtu kahama TANROADS kaenda TANESCO.
 
Safari, nights na overtime kila taasisi wanazo hasa kwa mafundi bila shaka huo utechnician tanesco ndo ajira yako ya kwanza basi unawenga sana
 
Boss mimi sio Technician Tena hata Sijui huko Vyuoni wanasomaga nini hao Technician kukutoa shaka Level yangu ni Darasa la Saba tu Pia Sio Muajiriwa,anyway Nilikuwa katika kumpa taarifa kwa kile nachokifahamu ila kama una connection fanya mpango basi huko TPA namimi nipate hata kazi ya Kukata Majani ya Bustani.
 
Hahah Wamekufanya nini TANESCO kwani boss iko hivi TANESCO watu wanachovimbia ni zile nights mzee na Safari hasa ukipata Transimission ulizia vizuri kuna mtu kahama TANROADS kaenda TANESCO.
No Tanroads watu huwa wanakimbia kwa sababu ya contract zao ni za muda mfupi ila kuhusu malipo yao yanafanana tu.
 
Safari, nights na overtime kila taasisi wanazo hasa kwa mafundi bila shaka huo utechnician tanesco ndo ajira yako ya kwanza basi unawenga sana
MKUU acha kudanganya kuna taasisi safari unazitafuta kwa tochi
 
Hahah Wamekufanya nini TANESCO kwani boss iko hivi TANESCO watu wanachovimbia ni zile nights mzee na Safari hasa ukipata Transimission ulizia vizuri kuna mtu kahama TANROADS kaenda TANESCO.
HAWA JAMAA VP MKUU TAEC (TANZANIA ATOMIC ENERGY COMMISSION) NASKIA WAKO VIZURI ZAIDI ?
 
Kwenye mada hii kuna chumvi nyingi sana; ukipata kazi ya kudumu kwa hizi taasisi sehemu sahihi na penye tulizo ya afya ni EWURA; ROADFUND; CAG OFFICE na kidogo TANROAD..huko sijui TANESCO sijui TPA ni kujazana tu stori za kijiweni. Nilishazunguka huko.kote kwa hizo stori nikajikuta nqbaki kushangaa tu maneno ya watu.
 
Daaah aisee basi ulikuwa kibarua.... Yaani TPA pawe pachovu TPA ya wapi hii mkuu, Tanesco unawajua...aiseee we jamaa

NB
Taasisi ulizotaja ni kweli zinalipa vizuri ila huwezi kulinganisha TPA na office ya mkaguzi mkuu au TANROAD...
 
Mkuu sitaki nikushawishi sana make unanitajia tu hiyo TPA na TANESCO lakini ninaamini hujawahi kufanya kazi kote TPA na TANESCO. Tambua kua kuna wengine wapo wizara ya Nishati lakini wanapata mishahara ya TGS xxx lakini wanaenjoy maisha na kuingiza pesa nzuri zaidi ya hiyo TPA na TANESCO.
Wewe unadhani ukilipwa 2.5milion kwa mwezi pale TPA na ikakatwa vilivyo unawezs kulingana na wafanyakazi wa ofisi ya CAG
 
Kwenye mada hii kuna chumvi nyingi sana; ukipata kazi ya kudumu kwa hizi taasisi sehemu sahihi na penye tulizo ya afya ni EWURA; ROADFUND; CAG OFFICE na kidogo TANROAD..huko sijui TANESCO sijui TPA ni kujazana tu stori za kijiweni. Nilishazunguka huko.kote kwa hizo stori nikajikuta nqbaki kushangaa tu maneno ya watu.
Ishu ni je unaweza toboa ukapata kazi hizo Sehemu kizembe Boss au ushawahi sikia kama wametangaza tu hata ajira Mheshimiwa hapo ndo kimbembe kilipo ko inabaki kuwa tu nadharia bora hizo nyingine mtu unaweza Kupata.
 
HAWA JAMAA VP MKUU TAEC (TANZANIA ATOMIC ENERGY COMMISSION) NASKIA WAKO VIZURI ZAIDI ?
Sifahamu Mheshimiwa ila Almost Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Hakuna njaa Mkuu.
 
Back
Top Bottom