Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Aisee sasa ndo nimehitimisha kuamini bavicha ni zero, hawajui kitu kazi kupinga tu na kushadadia mambo ndo mana mbowe anawaburuza, pole sana kijana, nenda kajifunze bajeti ya mishahara ikoje
Mkuu, kama mtu haelewi ni bora umuelimishe kuliko kumjibu kichochezi. Hili ni suala la kitaifa...halina uchama.
 
Sio kila kitu kinapita bungeni kwan kuhamia Dodoma binge lipi limepitisha

Hakuna fedha ya serikali inayoweza kutumiwa bila ya kupitishwa na bunge la bajeti, na kama hulijui hili siwezi kukusaidia kwani hilo bunge la bajeti linaendeshwa kwa kodi yako. Hilo la kuhamia Dodoma lina sheria yake kabisa ambayo ilipitishwa bungeni kipindi cha Mwl Nyerere, kwa hiyo kinachofanyika sasa ni kupasha kiporo moto ili kiliwe. Pia kwa kuwa hakuna fedha zilizotengwa na bunge la bajeti lililoisha majuzi utakuja kuona jinsi zoezi hili litakavyoendeshwa kwa kuviziana...[/QUOTE]
Mkuu, bado sijakuelewa. Jibu swali kwa ufupi ueleweke. Je, fedha za kuhamia dodoma zinatoka kwenye mfuko wa nani? Ni mfuko huohuo ambamo fedha za kulipa mishahara mipya zitatoka. Umeelewa?
 
Mkuu, bado sijakuelewa. Jibu swali kwa ufupi ueleweke. Je, fedha za kuhamia dodoma zinatoka kwenye mfuko wa nani? Ni mfuko huohuo ambamo fedha za kulipa mishahara mipya zitatoka. Umeelewa?[/QUOTE]


Fedha za kuhamia Dodoma hazipo, wanatumia fedha zilizotengwa na bunge kwa matumizi mengine. Natarajia bunge lijalo serikali itaulizwa ilipata wapi fedha za kuhamia dodoma? Nani aliidhinisha?
 
Post nyingi ni watumishi tu?
Masikini Mkulima kasahaulika kabisa Mazao yake kila siku yanashuka bei..
 
Is this serious...? ngoja kesho saa 5 asubuhi nitakuwa UTUMISHI kivukoni pale..!! Maana sijasikia kabisa
Mkuu waraka wa serikali ni siri hautolewi kiholela...kuweni na subira.
 
Mkuu, bado sijakuelewa. Jibu swali kwa ufupi ueleweke. Je, fedha za kuhamia dodoma zinatoka kwenye mfuko wa nani? Ni mfuko huohuo ambamo fedha za kulipa mishahara mipya zitatoka. Umeelewa?


Fedha za kuhamia Dodoma hazipo, wanatumia fedha zilizotengwa na bunge kwa matumizi mengine. Natarajia bunge lijalo serikali itaulizwa ilipata wapi fedha za kuhamia dodoma? Nani aliidhinisha?[/QUOTE]
Nadhani hata pesa za nyongeza ya mishahara zitatoka kwenye fungu hilohilo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…