Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Aiseee,huyu mtumbua majibu afanye kweli bhana,maana haya maisha sasa siyoooo.
 
Jamaa aliambiwa alete waraka but mpaka sasa hakuna taarifa zozote!!! Amekula chimbo!!!
 
Na hela za field za wanafunzi akumbuke hazijamaliziwa. ile laki 3 na kumi ishaisha long time na field bado haijaisha. mumfikishie na hilo pia.
 
Hili Bomu kubwa, Magu asipoangalia mishahara ya watumishi wa umma sote tumekwisha.
 
Alafu we mtoa mada acha kutonesha vidonda watu tulishashukuru Mungu! tangu lini mishahara ikapanda mwezi wa huu
 

Chochezi...
 
wewe nani?au msemaji wa serikali kwenye ajira?Kama ndivo!Mwambie kakulu kuwa WALIMU WENZAKE WANAOMBA WALAU POSHO LA KATIKATI YA MWEZI?
 
wewe nani?au msemaji wa serikali kwenye ajira?Kama ndivo!Mwambie kakulu kuwa WALIMU WENZAKE WANAOMBA WALAU POSHO LA KATIKATI YA MWEZI?
Upo sahihi kabisa. Tena afanye haraka na aondoe ubaguzi kwenye utumishi wa umma. Kuwapa maafande na madaktari tu siyo fair angetoa kwa wote ili kuondoa minong'ono na malalamiko hasa ukizingatia mwalimu ndiye aliyetakiwa hizo posho kabla ya idara nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…