Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Huu upuuzi ulianza kusambaa tangu mwez July 2016,

Huo mshahara wa TGTS A na TGS A ndo wanalipwa kina nani?

Watanzania acheni uzembe wa kukubali kila uongo wa mitandaoni!
 
Hiyo Kitu Ni Ya Kweli Kabisa Kuna Jamaa Yangu Anafanya Kazi Ktk Halmashauri Flani Upande Wa LAWSON huu waraka wanao tayari na kila halmashauri kwa uhakika zaidi tafuta mtu yoyote anayefanya kazi kitengo hicho ktk halmashauri yako
umejitahidi kunyegesha watu
 
Dalili za uchizi huanza poole pole......
Muda huwa unaongea....usiwe na haraka mkuu......
 
endelea kujitia moyo!!!? uhakik bado unaendelea hujamsikia kairuki kasema angalau had mwez wa kumi na moja...ndo unaweza kuisha..
hao kina kairunini sijui na mwenzie ndo wanamwitaga simbamchamwene nikiwaona naswitch satation. uoga tu uongoongo wa kisiasa umewajaa. hamna lolote, hofu na nidhamu za woga. hainiingii akilini ministers wakubwa wanashindwa kuamua ili hali uhaba wa watumishi kwenye sekta za afya na elimu ni mkali. hata kumshinikiza prezdaa aachie kibali hawathubutu, ili mradi tu ugali wao uwe salama!
@😡😡😡😡😡😡
 

Kweli Watanzania tuna shida. Mshahara gani wa maana hapo mpaka unapiga ukulele. Pole sikulaumu
 
Ngoja Jamaa Akinipa Napiga Picha Naweka Hapa Labda Na Yeye Awe Amenidanganya
hivyo vijikaratasi niliviona havina alama zozote za kiserikali ili kuonesha kweli ni original. ni kama watu wameprint hivi kimagumashi
 
Tetesi: Nimesikia Yesu anarudi Sept. mwishoni... tujiweke tayari.. ! tetesi ! wtf.... aaaaaarrrgggghh..##%&-$¶©®√Π×}{]=><©¢£××Xxxxxxxx
 
This time hizo tetesi lazima ziongeze matetemeko nchini.
 
ACHA AKILI TOPE HAKUNA KITU KAMA HICHO HII NCHI HAINA PESA NA MISHAHARA HIYO ITAONGEZWA KUPITIA BAJETI GANI,? CCM IMECHOKA HAKUNA JIPYA ZAIDI YA MATAMKO
Wewe ndiye uliyechoka huenda wewe ni mwendesha bodaboda ya mkopo wa kura Kwa aliyeshindwa mwenye nywele nyeupe.
 
Kweli kabisa maana hakuna namna
 
hii meseji haina ukweli hata ukiangalia figure zake zinapoteza uhalisia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…