Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Mrejesho lini mkuu?...usitukimbie hapa,jina lako tunalo...
 
Ngoja Jamaa Akinipa Napiga Picha Naweka Hapa Labda Na Yeye Awe Amenidanganya

Itakuwa kama ile barua ya tangazo tuliloambiwa limetoka TAMISEMI juzi kuhusu maswala ya uhamisho
 
Mleta mada kaandika 'hii mishahara KAMA ni kweli......' cha ajabu ma GT wanamshukia mleta mada as if amethibitisha hio mishahara.
 
Sio dharau wala nini lkn binafsi sijaona mshahara wa kukenulia meno hapo hata kama ingekua ni kweli labda kwa wanawake.
Heri yako. Sisi walalahoi hio mishahara ni mikubwa.
 
Mlalahoi kwani umekatwa mikono aisee. Mwanaume ukiishi kwa kutegemea mshahara tuu haifai.
Ok kumbe walalahoi ni wale waliokatwa mikono. Haya mkuu taratibu tutafika mlipo.
 
Ok kumbe walalahoi ni wale waliokatwa mikono. Haya mkuu taratibu tutafika mlipo.
Ninachomaanisha ni lazima mwanaume ajishughulishe kujitafutia kipato cha ziada na sio kulalamika tuu mishahara midogo.
 
bila makato!
 
Ninachomaanisha ni lazima mwanaume ajishughulishe kujitafutia kipato cha ziada na sio kulalamika tuu mishahara midogo.
Na mimi nilichomaanisha huo unaouona mdogo kwa mwingine ni mkubwa sana na ameridhika. Kuna mtu haridhiki na tzs 15m a month wakati mwingine akipata hio God knows.....
 
Na mimi nilichomaanisha huo unaouona mdogo kwa mwingine ni mkubwa sana na ameridhika. Kuna mtu haridhiki na tzs 15m a month wakati mwingine akipata hio God knows.....
Nimekuelewa chief ila sikuwa na maana ya kubeza bz na mimi nilianza kujikusanyia hicho hicho kidogo mpaka nilivyoweza kujikomboa japo bado cjafika napotaka lkn Mungu ni mwema napambana.
 
Tatizo ndg sio kuongeza mishahara hapa ni kuomba tu "stability of economy" meaning that hela yetu iwe na nguvu compared dollars, hata ulipwe kidogo u may survive
 
Acheni kutuchanganya sisi wafanyakazi. Tunachofanyia kazi ni kauli ya Rais wetu mpendwa JPM siku ya MEI Mosi kwamba kwa mwaka huu hataongeza mshahara labda mwakani. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Mkuu comment yako imenichekesha sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…