Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Huo mshahara utajilipa au, jaman achen ndoto za hela, mana ukiwazacho ndicho ukiotacho
 
Ile habari
hivyo vijikaratasi niliviona havina alama zozote za kiserikali ili kuonesha kweli ni original. ni kama watu wameprint hivi kimagumashi
ile habari ya uchumi kushuka imewashtua Lumumba wameanza kuhaha
 
Hiyo Kitu Ni Ya Kweli Kabisa Kuna Jamaa Yangu Anafanya Kazi Ktk Halmashauri Flani Upande Wa LAWSON huu waraka wanao tayari na kila halmashauri kwa uhakika zaidi tafuta mtu yoyote anayefanya kazi kitengo hicho ktk halmashauri yako
Sio kweli, kakudanganya huyo mtu
 
Mimi napita sina cha Kuongeza hapo ila nimechoshwa na hilo limeseji lenu kila siku mishahara inapanda lakini hakuna kinachoongezwa waambieni wanaowatuma kuwa dawa yao 2020
 
HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016

1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000

PROVED.......... HAPA KAZI TU

TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.

NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
Kipi ni kipi waraka umetoka siku ya ijuma inaanza kutumika September 2016 halafu hapohapo ni tetesi sijathibitisha.
 
HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016

1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000

PROVED.......... HAPA KAZI TU

TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.

NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
Hili neno kudhibitisha mnavyotumia kama kuthibitisha linakera kwa kweli.Mnavyoandika neno lijueni mzizi wa hilo neno kabla.
 
HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016

1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000

PROVED.......... HAPA KAZI TU

TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.


Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.


NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
Salary.png


PROVED..... HAPA KAZI TU!!
 
Hapo mtasubiri sana maana sasa hivi kila kitu ni tetesi kama nyongeza ya mshahara ya kila mwaka haipo ije mshahara kuongezwa? Sasa hivi kimeibuka kingine uhakiki wa vyeti mwezi ujao kingine nadhani itakuwa kujaza fomu za maadili ya mtumishi wa umma
 
Habari za kuaminika za ndani kabisa ni kuwa mwezi hakuna mabadiliko yoyote ya mishahara wala promotion yeyote.

Tuombe Mungu kwa mwezi October
 
HABARI
SALARY KWA MWEZI September 2016

1.TGTS A1-546,000
2.TGTS B1-694, 000
3.TGTSC1-782,500
4.TGTS D1-939,000
5.TGTS E1-1,319,000
6.TGTS F1-1,653,000
7.TGTSG1-1,970,000
8.TGTSH1-2,584,000
9.TGTSI1-2,865,000

PROVED.......... HAPA KAZI TU

TGS A1~ 746,000
TGS B1 ~894.000
TGS C1 ~982,500
TGS D1~ 1,139,000
TGS E1~ 1,219,000
TGS F1 ~1,4053,000
TGS G1 ~1,670,000
TGS H1~ 1,884,001~ 2,665,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka IJUMAA.
Inaanza kutumika September 2016.

NOTE:NI TETESI SIJADHIBITISHA
Jipange kivingine Mkuu! Usipoteze muda wako kujadili yasiyokuwepo
 
Ingekuwa enzi za JK ingewezekana lakin si kwa huyu tuliyenaye sasa.
 
ACHA AKILI TOPE HAKUNA KITU KAMA HICHO HII NCHI HAINA PESA NA MISHAHARA HIYO ITAONGEZWA KUPITIA BAJETI GANI,? CCM IMECHOKA HAKUNA JIPYA ZAIDI YA MATAMKO
ukawa ikaja ukiwa ikaja ukuta saiv hadi kodi ya pango hamna kama ccm itakufa bas chadema maiti iliyobaki mifupa kbs,wote wale wale sema magufuli afadhali...ccm ,ukiwa tupa kule
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom