ndemesi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 380
- 121
Jonas Mkude huenda akawa ni mchezaji mzawa anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote katika kabla ya Simba kutokana na kuongeza mkataba na klabu hiyo kwa makubaliano ya kulipwa shilingi milioni tano kwa mwenzi(5000000)ambapo kwa mwaka atakua amejikusanyia jumla ya shilingi milioni sitini(60000000)Mkataba huo ni wa miaka miwili.