Mishahara kwa wachezaji

Mishahara kwa wachezaji

ndemesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
380
Reaction score
121
Jonas Mkude huenda akawa ni mchezaji mzawa anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote katika kabla ya Simba kutokana na kuongeza mkataba na klabu hiyo kwa makubaliano ya kulipwa shilingi milioni tano kwa mwenzi(5000000)ambapo kwa mwaka atakua amejikusanyia jumla ya shilingi milioni sitini(60000000)Mkataba huo ni wa miaka miwili.
 
Kubwa hapa ni kula kwa urefu wa kamba yako tu... Ukifata wengine utakufa kabla ya muda..
 
Bila kusikia tetesi za Yanga SC kutaka kumsajili wangetaka kumlipa mil 4 zile zile...

Zile tetesi ziliwasaidia sana wakala + Jonas kuvuta mpunga mrefu..

Nikama hili la Ajibu hivi sasa.
 
Mil 4??? Kwa mwezi??? Acheni masikhara.... aweke payslip yake hapo kama amewahi kulipwa hizo milion 4 per month...
Wasomi hamuaminigi kwamba kuna watu hawajafika hata 4m4 wanapiga mpunga mrefu kuliko wenye Degree..

Pole sana mkuu..
 
Wangekua wanalipwa zote bas kwa mwaka huenda akaambulia miez 5 hyi meiz mingi akapgwa tu danadana

Kama refa anaezunguka
Uwanjan kutafta makosa
Ya wachezaj
 
Bongo bado sana kwa soka naona halilipi kabsa hivi pale asernal mwenye mshahara wa 60m anaweza kuwa nani kwa wee?
 
Back
Top Bottom