DOKEZO Mishahara kwa watumishi wa Umma Novemba 2024: Kwanini Serikali haikulipa mishahara kwa baadhi ya watumishi hadi leo?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.

Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.

Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.

Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.

Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.

Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.

Nawasilisha.
Serikali ya bibi Tozo itakuwa imefilisika baada ya kutumia pesa zote kuwahonga wapiga kura
 
Ziara ya Brazil watu zaidi ya 100

Mishahara bado

Pesa za kumkamata mdude na kumpiga zipo

Pesa za kuhonga chaguzi za serikali za mitaa zipo

CCM ....... Msikilizeni katibu wa TEC mtakuja kunishukuru
 
Mkuu kama watu wengine wamelipwa lazima ushtuke. Kama watu wamelipwa tangu tarehe 22, why wengine wasubiri tarehe 30. Haileti mantiki. Labda kuna tatizo ni muhimu wawasiliane na HR wao.
Nadhani mleta mada umekurupuka labda ni kwa shida.
Leo ndio tarehe 25 na pengine Kuna tatizo au hakuna tatizo ungesubiri siku kadhaa upate uhakika kabla ya kulalamika
 
CCM ile ile... in kapteni John Komba voice ... Tuwanyowe kwa Wembe waTanzania tuna uhakika watatusaidia 27 November 2024 kuiba kura kwa ajili ya ushindi wa kushindo kwa chama dola kongwe kilicholeta uhuru wa Tanganyika
 
Nadhani mleta mada umekurupuka labda ni kwa shida.
Leo ndio tarehe 25 na pengine Kuna tatizo au hakuna tatizo ungesubiri siku kadhaa upate uhakika kabla ya kulalamika
Angesubiri afe njaa na wadeni wake utawalipa wewe mkuu? Kama wewe sio mtu wa mshahara haya mambo huwezi kuyajua. Kaa kwa kutulia.
 
Unless wewe ni mgeni humu,mambo mengi sana hutatuliwa na serikali kupitia hili jukwaa
Baada ya Uzi kupanda TU,ikafuatiwa na majina , cheque no. Za ambao hawajapata plus akaunti zao !Sasa hivi nimeona kamzigo!!

Kweli the state wapo humu!!!

Nadhani "ikiwa watumishi wa umma hawatopata mshahara Hadi siku ya 33,mtia Nia itakua too late kwake"

Nawaza!
 
Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.

Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.

Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.

Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.

Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.

Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.

Nawasilisha.
Hapo ofisini kwako hakuna afisa utumishi? Sasa huku mpaka aje aone si utakua umekufa njaa?" Jf imekosa heshima yake kabisa siku hizi.
 
Yes ,watu wengi hawajapata mshahara . Tunasubiri taarifa rasmi Kuna tatizo Gani?
Serikal inadharau sana watanzania..
Kama mtu wa serikal anajitokeza hadharani kusema pesa sio za serikal ambazo kiuhalisia zimetoka kwa wananchi, ni za ccm , basi hapa moja kwa moja wana uwezo wa kutokuwalipa hadi waamue au wakatumie kwenye masuala yao mengine yasiyo na tija
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuweni na Subra..! Leo ni tarehe 25, mwezi bado haujaisha.

Kama mmebanwa sana kwenye familia fanyeni maarifa, ..Waoneni kina Mangi,mbona akina Mangi wenye maduka huwa wanasaidia sana mtaani.

Kopa kwa Mangi,Huwa wanaokoa jahazi hasa iwapo shida inahusu kibaba cha unga au maharage. Usiende kukopa school fees.

Au nyinyi hamuishi vizuri na Majirani.!
Duh, kwamba wananchi watumishi wa umma wasipolipwa au wakicheleweshewa haki zao wakaombe chakula kwa majirani
 
Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.

Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.

Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.

Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.

Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.

Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.

Nawasilisha.
Kila mtumishi ana check number this can not be a joint issue.

Muulize boss wako pepmis inasomaje mkuu?
Acheni kudanganyana. Chapeni kazi.
 
Jibu ninalo ila kwa maneno yako machafu na matusi yanayokutoka sikuambii.

Unakaribia kustaafu halafu mitusi imekujaa kichwani mwako? Kwa nini usiwe humble upewe majibu ya uhakika?
Huna jibu lolote. Ngoma ishasoma saa 8 na sasa nipo nakunywa ulanzi.

We endelea kukata mauno ukiimba CCM mbele kwa mbele. 😀😀
 
Hapo ofisini kwako hakuna afisa utumishi? Sasa huku mpaka aje aone si utakua umekufa njaa?" Jf imekosa heshima yake kabisa siku hizi.
Msiwe mnashobo. JF ni kubwa kuliko afisa utumishi. Hata mi sikuwa nimepata haki yangu ila nimeshapata sms ya CRDB Banki saa 7 hivi.
 
Back
Top Bottom