Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya bibi Tozo itakuwa imefilisika baada ya kutumia pesa zote kuwahonga wapiga kuraModerators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.
Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.
Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.
Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.
Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.
Nawasilisha.
Nadhani mleta mada umekurupuka labda ni kwa shida.
Leo ndio tarehe 25 na pengine Kuna tatizo au hakuna tatizo ungesubiri siku kadhaa upate uhakika kabla ya kulalamika
Mi nakaribia kustaafu mkuu. Hawakulipa wote.Waliokosa ni ajira mpya au hata watumishi wa muda mrefu?
Angesubiri afe njaa na wadeni wake utawalipa wewe mkuu? Kama wewe sio mtu wa mshahara haya mambo huwezi kuyajua. Kaa kwa kutulia.Nadhani mleta mada umekurupuka labda ni kwa shida.
Leo ndio tarehe 25 na pengine Kuna tatizo au hakuna tatizo ungesubiri siku kadhaa upate uhakika kabla ya kulalamika
Na mimi nimepata mida huuWadau msihofu wanaendelea kuweka, wengi wamepata muda huu
Baada ya Uzi kupanda TU,ikafuatiwa na majina , cheque no. Za ambao hawajapata plus akaunti zao !Sasa hivi nimeona kamzigo!!Unless wewe ni mgeni humu,mambo mengi sana hutatuliwa na serikali kupitia hili jukwaa
Hapo ofisini kwako hakuna afisa utumishi? Sasa huku mpaka aje aone si utakua umekufa njaa?" Jf imekosa heshima yake kabisa siku hizi.Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.
Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.
Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.
Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.
Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.
Nawasilisha.
Serikal inadharau sana watanzania..Yes ,watu wengi hawajapata mshahara . Tunasubiri taarifa rasmi Kuna tatizo Gani?
Duh, kwamba wananchi watumishi wa umma wasipolipwa au wakicheleweshewa haki zao wakaombe chakula kwa majiraniKuweni na Subra..! Leo ni tarehe 25, mwezi bado haujaisha.
Kama mmebanwa sana kwenye familia fanyeni maarifa, ..Waoneni kina Mangi,mbona akina Mangi wenye maduka huwa wanasaidia sana mtaani.
Kopa kwa Mangi,Huwa wanaokoa jahazi hasa iwapo shida inahusu kibaba cha unga au maharage. Usiende kukopa school fees.
Au nyinyi hamuishi vizuri na Majirani.!
Kila mtumishi ana check number this can not be a joint issue.Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.
Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.
Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.
Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.
Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.
Nawasilisha.
Viongozi wenyewe hawajapata😁Humu hautopata msaada, wasiliana na viongozi wako.
Huna jibu lolote. Ngoma ishasoma saa 8 na sasa nipo nakunywa ulanzi.Jibu ninalo ila kwa maneno yako machafu na matusi yanayokutoka sikuambii.
Unakaribia kustaafu halafu mitusi imekujaa kichwani mwako? Kwa nini usiwe humble upewe majibu ya uhakika?
Msiwe mnashobo. JF ni kubwa kuliko afisa utumishi. Hata mi sikuwa nimepata haki yangu ila nimeshapata sms ya CRDB Banki saa 7 hivi.Hapo ofisini kwako hakuna afisa utumishi? Sasa huku mpaka aje aone si utakua umekufa njaa?" Jf imekosa heshima yake kabisa siku hizi.