Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
So JPM alikuwa kwenye right track, maana angalau yeye mwenyewe alianza kwa kujipunguzia mshahara. Ilikuwa ni dalili njema, hata wabunge wasingefuruka na harakati hizi za leo za kutaka kudai mishahara mingine minono zaidi. This is shame to a poor rich country like Tanzania.Tunajipanga tuende mahakamani kupunguza mishahara ya viongozi na kuweka kodi kwenye mishahara ya wabunge. Vuteni subira.
Mungu Amesha sema ASIYE FANYA KAZI NA KULA ASILE!Mungu tu ndie atakae tunusuru.
Mzigo wa Kodi unazidi kuongezwa huku wao wanaishi Maisha raha mustarehe Mungu atunusuru.Mungu Amesha sema ASIYE FANYA KAZI NA KULA ASILE!
MKISHA KUSWALI TAWANYIKENI KWENYE ARDHI MFANYE KAZI!
Hakuna Haki bila Kuwajibika!
Unazaa watoto wengi tuione Nguvu Kazi yao ili Isaidie Kujikimu!
Ukicheka na nyani Utavuna Mabua!Mzigo wa Kodi unazidi kuongezwa huku wao wanaishi Maisha raha mustarehe Mungu atunusuru.
Mkuu rekebisha wakuu wa mikoa na maRAS sio 26 ni 31Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu tawala wa mikoa 26 wabunge 400 mshahara wa chini ni tsh. Milioni 3 na mshahara wa juu ni tsh. Mil.11 bado magari ya gharama n.K. Fedha zote hizi ni kodi za masikini wananchi.
Kutokana na hali hiyo wananchi wanakata tamaa ya kulipa kodi kwani kodi zao zinatumika na viongozi kujilipa mishahara mikubwa na magari ya gharama .Juzi kuna mbunge kasimama anadai wabunge waongozewe mishahara anasahau kuwa watumishi wa umma huu ni mwaka wa 6 hawajaongezewa mishahara hata sh.10,000/=.
Tunashauri utitiri wa viongozi upunguze na mishahara yao hasa ya wabunge nayo ipunguzwe ili wananchi wahamasike kulipa kodi kwa hiari.
Kulikuwa hakuna mantiki kuugawanya mkoa wa Mwanza vipande vipande na sasa mikoa iliyogawanywa mmojawapo pia unataka kugawanywa zaidi.TANZANIA ni Moja ya NCHI Masikini zilizojaliwa kuwa na UTITIRI wa VIONGOZI kuanzia WILAYA mpaka TAIFA Viongozi hao Waliligharimu Taifa FEDHA nyingi sana kuliko hata za WATUMISHI wote wa SERIKALI Tuna Wakuu wa Wilaya 140,Wakurugenzi 200 wakuu wa Mikoa 26 Makatibu Tawala wa Wilaya 140 Makatibu Tawala wa Mikoa 26 Wabunge 400 Mshahara wa Chini ni Tsh. Milioni 3 na Mshahara wa juu ni Tsh. Mil.11 bado Magari ya Gharama n.k. Fedha zote hizi ni KODI ZA MASIKINI WANANCHI.
Kutokana na Hali hiyo WANANCHI wanakata TAMAA ya Kulipa KODI kwani KODI zao Zinatumika na VIONGOZI kujilipa MISHAHARA Mikubwa na MAGARI Ya GHARAMA .Juzi Kuna MBUNGE kasimama Anadai WABUNGE Waongozewe MISHAHARA anasahau kuwa WATUMISHI wa UMMA huu ni MWAKA wa 6 hawajaongezewa MISHAHARA hata sh.10,000/=.
Tunashauri UTITIRI wa VIONGOZI UPUNGUZE na MISHAHARA yao hasa ya WABUNGE nayo IPUNGUZWE ili Wananchi Wahamasike Kulipa KODI kwa HIARI.