Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma imetoka?

Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma imetoka?

92mtl

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
459
Reaction score
308
Wandugu hili gazeti linaonesha tetesi kuhusu mishahara mipya ya watumishi na linadai kuwa kuna waziri alilizungumzia jana bungeni mliokua karibu na TV, je kuna ukweli wowote ktk hili je range hiyo ya mishahara ina weza kuwa kweli au ni ndoto za mchana?

Naambatanisha picha
1473833201803.jpg
 
sijui lini walimu wataanza pokea mishahara yenye tarakimu saba eg; 1,000,000/=
 
Mbona sjaona ya ma engineer hapo ina mana hawana umuhimu kwenye serikali ?
 
Hamna nyongeza yyte nshalsoma aljb n kias gan cha mshahara wanachopokea watmsh na akasema serkl itaendelea kboresha mishahara kadri ya upatknaj wa pesa
 
sijui lini walimu wataanza pokea mishahara yenye tarakimu saba eg; 1,000,000/=
Wapo wanaopokea kiasi hicho ni itategemea na kupanda daraja na uzoefu pia kazini mfano mwl aliyefundisha akifikia umri kuanzia 55 anapata mshahara huo
 
Wapo wanaopokea kiasi hicho ni itategemea na kupanda daraja na uzoefu pia kazini mfano mwl aliyefundisha akifikia umri kuanzia 55 anapata mshahara huo
Kweli walimu ni wito yaani kufika tarakimu 7 uwe na umri wa 55+ sasa hapo si kuelekea kustaafu.
Nawapenda sana walimu wangu mlionifundisha pigeni Mungu atawalipa tu...
 
Umenichekesha sana Mdau... Eti hajira??? Kama waajiriwa wenyewe ndo hao bora serikali iendelee kukaa kimya tu.. Maana kuna uwezekano ikaajiri waajiriwa hewa.
Huo ni mfano mdogo tu wa graduates wengi waliopo mtaani, kwanza serikali ina huruma sana kuajiri watu wenye uwezo wa aina hiyo (japo sio kigezo cha uelewa wa mtu)
 
Back
Top Bottom