Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma imetoka?

Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma imetoka?

Nijuavyo mimi sio miaka 55 kama ulivyonaliri kwa mtoa comment hoja ya msingi ni kupanda madaraja kwa wakati mfano Mwl akitoka Daraja D yenye 716000 kwenda E kitu kama 940000 (sina uhakika) kila baada ya 3yrs, sasa Mwl huyu assume alianza kazi na miaka 25-26(ndio umri wa walimu wengi toka vyuo vikuu) kabla hata hajafikisha miaka 35 atakua amefikia Dara F na atalipwa kwa viwango vya Daraja F kikubwa ni kupanda kwa madaraja kwa wakati ndiko kunakowaumiza walimu au kuwafurahisha
so uwe na umri wa miaka 9 kazini.
 
ndo walewale wa muujiza= Muugiza[emoji2]
 
Muuguzi anaelipwa million 1 ni mwenye degree, wale wenye diploma ni 680000 imagine Hawa wa diploma anatofautiana na Mwl mwenye degree 36000 sababu mwalimu wa degree anaanza na laki 716000

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
huu ndio ujinga nisioutaka mkuu,unategemea kwa mtindo huu mwalimu atakuwa na morali na kazi yake kweli??
 
The issue sio ww kutaka mkuu game la medicine sio lakitoto huez compare izo professional kabsa ndio maana ata nchi zilizoendelea madaktari wanalipwa ela ndefu
 
The issue sio ww kutaka mkuu game la medicine sio lakitoto huez compare izo professional kabsa ndio maana ata nchi zilizoendelea madaktari wanalipwa ela ndefu

ni kweli mkuu ila sio kwa level mbili tofauti za elimu,yaani degree na diploma,ingekuwa kwa level moja mf. degree kwa degree sawa mishahara lazima itofautiane kwa hoja yako hyo,degree huwezi kuifananisha na diploma popote pale duniani,hata kwa wenzetu unaowasemea wanawalipa tofauti kulimgana na level za elimu zao
 
Sasa degree ya ualimu ni 3years na diploma ya uganga au uuguzi ni 3years tena masomo yako full nondo sio kipolepole ....ukiachana na Hilo job description zake ziko tyt vilevile so naona pia ata kwa upande wa diploma bado wanahitaji nyongeza zaidi ,sijamaanisha walimu hawasomi vitu vigumu Ila nmejaribu kukuonyesha utofauti wa diploma za afya na zingne
 
wanalipwa ela ndefu? ela, ela, ela bora Dr Magufuli asiajiri, Hivi humu jukwaani usipochangia unapigwa bani? Kama siyo yanini uongee uharo? Kukaa kimya siyo UJINGA
 
wanalipwa ela ndefu? ela, ela, ela bora Dr Magufuli asiajiri, Hivi humu jukwaani usipochangia unapigwa bani? Kama siyo yanini uongee uharo? Kukaa kimya siyo UJINGA
Sasa ungeendelea kunyamaza ungepungua nn...watu wengne bwaana
 
Back
Top Bottom