kitambiflat
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 163
- 228
Huu ni upotoshaji ambao hautofautian na ule wa kila mwezi wa saba wa kila mwaka.KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho
kama madaktari level ya degree walikua wanapokea mshahara mkubwa kuliko mwalimu Wa level ya degree sasa watashushwa hadi kufikia tgts hizo hapo juu!Madaktari wa rufaa mishara imepunguzwa kama tulivyoambiwa jana kule Bugando na katibu mkuu wa wizara ya afya (kama ilivyoandikwa humu Jf).
Sasa imekuwaje waalimu wao mishahara yao imepanda? (NB: Kwa wasiojua hizo salary scales alizo nukuu ni za mishahara ya waalimu tu.
Yaani mwalimu wa chini kabisa anayefundisha ngazi ya vidudu anaanzia zaidi ya Shs 0.5 m kwa mwezi zaidi ya graduate wa SAUT na anamkaribia saana daktari wa rufaa baada ya mshahara wake kuteremshwa.
Madaktari wa rufaa mishara imepunguzwa kama tulivyoambiwa jana kule Bugando na katibu mkuu wa wizara ya afya (kama ilivyoandikwa humu Jf).
Sasa imekuwaje waalimu wao mishahara yao imepanda? (NB: Kwa wasiojua hizo salary scales alizo nukuu ni za mishahara ya waalimu tu.
Yaani mwalimu wa chini kabisa anayefundisha ngazi ya vidudu anaanzia zaidi ya Shs 0.5 m kwa mwezi zaidi ya graduate wa SAUT na anamkaribia saana daktari wa rufaa baada ya mshahara wake kuteremshwa.
TGSEHivi mwanasheria aliyepitia law school akianza kazi analipwa kiasi gani?