Mishahara na kazi za PCCB Tanzania zipoje kwa elimu ya form VI

Ndugu,nafasi ndo kwanza zimetangazwa halafu wewe ushapata tiyari? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€au ni makosa ya kiuandishi?
point ni kwamba nina asilimia kubwa ya kupata nafasi kote. so i wanted to know salary scale ya izo taasisi
 
Kweli sijui kitu kama hicho maana sijawahi kupata kazi harafu nisijuwe nitalipwa kiasi Gani, manaa Barua tu ya kuniita kazini itaeleza maslahi yangu yote๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
nzuri iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ