CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hahaaaa yaani kama ni Kombola basi limepiga penyewe.Hivi unahisi dunia nzima watu wanaweza kujiajiri na wasiwepo wakulipwa mshahara mkuu? Huwezi badili hii dhana duniani, kama wewe una biashara yako unapata hela na aliyeajiriwa anapata hela itoshe tunakutana sokoni wote kununua mahitaji. Mnawakandia sana waajiriwa asee.
Is up to you. Hakuna sehemu nimesema watu waache kazi,Kwa hiyo tusitegemee mishahara na tusiajiriwe sio??
mtaji wako ni confidence yakoNipe mtaji nijiajiri
PointHivi unahisi dunia nzima watu wanaweza kujiajiri na wasiwepo wakulipwa mshahara mkuu? Huwezi badili hii dhana duniani, kama wewe una biashara yako unapata hela na aliyeajiriwa anapata hela itoshe tunakutana sokoni wote kununua mahitaji. Mnawakandia sana waajiriwa asee.
poa mkuuIs up to you. Hakuna sehemu nimesema watu waache kazi,
Ishu sio makombora mkuu, jiulize watu wangapi wameajiriwa lakini wana maisha mazuri kuliko wewe?Hahaaaa yaani kama ni Kombola basi limepiga penyewe.
Mkuu hili jukwaa sio la wafanya kazi sasa unataka tuongee nini?.Jukwaa lina husu nini?Point
Humu ni Ujasiriamali unless kama hili jukwaa sio hilo. mambo ya kuajiriwa humu sio sehemu yakeKwa hiyo tusitegemee mishahara na tusiajiriwe sio??
Relax mkuu hatugombani hapa..wasilisha hoja tu simple uelewekeMkuu hili jukwaa sio la wafanya kazi sasa unataka tuongee nini?.Jukwaa lina husu nini?
Kuna jukwaa la ajira kule tunazungumzia watu kuajiriwa
Mkuu nimekuelewa, Punguza mihemko inaonekana kama una jazba..Kukosolewa ni kitu cha kawaida sanaHumu ni Ujasiriamali unless kama hili jukwaa sio hilo. mambo ya kuajiriwa humu sio sehemu yake
chasa kagonga penyewe,Ishu sio makombora mkuu, jiulize watu wangapi wameajiriwa lakini wana maisha mazuri kuliko wewe?
Acha kukariri na vimiradi vyenu vya kuku hivyo boss. Maisha ni kuchagua, mwingine kaajiriwa lakini yuko so happy na kazi yake na mshahara wake, anatunza familia yake anaweka akiba yake sawa tu na wewe una miradi yako lakini kila siku presha, nani afadhali sasa?
Ukiwa na choice yako usilazimishe iwe kwa kila mtu na isiwe sheria!
ndo unavyo jidanganya eti yuko so happy, hahahaa utumwa huo, je ana maamuzi binafisi? anaweza amua leo asiende kazini? acha kujipa moyoIshu sio makombora mkuu, jiulize watu wangapi wameajiriwa lakini wana maisha mazuri kuliko wewe?