Mishahara ni hongo ya kufanya watu waamini tofauti na na wanavyo amini

unamaanisha waliojiajiri wote wana hela za kukaa ufukweni hawaii mwaka mzima..

na hawa nyumba zao zinazouzwa na mabank kisa mikopo biashara zimebuma now wana mafanikio kuliko waajiriwa..

hata waajiriwa wapo wanaoweza kwenda hawaii.. kina kimei, mchechu, na wengine kibao...

mnakosea sana mnavyoongelea waliojiajiri kwa kutoa mifano ya mengi na dewji.. unasahau hao wote walishawai kuajiriwa tena sana tu.. mengi kafanya sana kazi za watu...

mnasahau pia kuna walioajiajiri wengi tu ambao wana maisha mabovu kuliko walioajiriwa... na hawana hata hela za dharura..
Wewe ni mbishi sana maelezo mengi halafu point inatafutwa kwa tochi
 
mawazo ya yako ni full upotoshaji umejawa na kiwango kisicho semekana cha uoga
jebu nitajie kwenye list ya fobbers ni wafanya kazi wangapi wako kwenye ile list? au Tanzania tu nitajie wafanya kazi matajiri

acha kuzungumzia kuwa na pesa ya kubadili mboga na kununua used car na kuwa na pesa ya kwenda ufukweni

Mengi anapesa anaweza hata enda kukaa kwenye visiwa vya Hawaii mwaka mzima anakula bata hizo ndo pesa
Mohamed Entreprises hana pesa ya kubadili mlo bali anapesa ya kuweza kuleta mtikisiko

acha kuleta story za mishara ya kukuwezesha kubadili milo na kununua used car na ukijitahidi sana unajenga nyumba
Hutakaa upate hela ya Mengi wala ya Mo kama ndo hivyo unavyojidanganya, na kuwa tajiri sio mpaka uandikwe fobbers.. na nnakuhakikishia kuna waajiriwa kibao wana maisha mazuri kuliko wewe.
 
Maisha mazuri ni yapi? Define maisha mazuri, Hata wanafunzi Chuoni wanaaisha mazuri.
 
labda tungeanza na wewe mkuu lini umeenda hawaii au nchi yoyote kupumzika??? na account yako ina savings kiasi gani??

nazani tungeanzia hapo kwanza kabla hujanipinga sina point

Wewe ni mbishi sana maelezo mengi halafu point inatafutwa kwa tochi
 
Utajiajiri vipi bila mtaji? Au hiyo shule na duka la nguo utavianzishia hewani? Watu wamesoma ndiyo, wanatamani kujiajiri ila tatizo ni mtaji.
Vile ujuzi na maarifa ulopata ndo mtaji huo.
Unataka mtaji gani tena?
 
ndo unavyo jidanganya eti yuko so happy, hahahaa utumwa huo, je ana maamuzi binafisi? anaweza amua leo asiende kazini? acha kujipa moyo
Kwahiyo unajiajiri ili uwe mtoro? Ili usitimize wajibu? Kwanini usiende kazini na umeamka uko salama kabisa na una nguvu?
 
Kasumba kama zilivyo Kasumba nyingine ikiwemo ya kujenga ni lazima kama una kipato, ni Kasumba tu! in madebes voice
 
kwa mtazamo wangu wat wanakubali kuajiriwa kwa kukosa mitaji... Ndôto wanakuwa nazo tatizo pa kuanzia
Bias mliyonayo ni kwamba ndoto hutimizwa kwa kujiajiri tu, si kweli. Ndoto zinaweza kutimizwa kwa kuajiriwa, Mfano: Mimi ndoto yangu tangu najielewa ilikuwa kusaidia watoto waishio mazingira magumu through my work na ninafanya hivyo kwenye organization niliyopo.

Mnapozungumzia ajira huwa mnawaza Mabank teller tu ee?
 
kwa hiyo huwazi kujitegemea wewe kama wewe siku hicho kiNGO chenu kikifa utafanyaje?
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba kwenye kujiajiri ndipo kuliko na mafanikio makubwa na uhuru wa kiuchumi ila si jambo la mzaha kama unavyopost tu apa. wengi walianza kuajiriwa kwa maana ya kupata mitaji ya hela then wameenda mbali na kuajiri wengine mfano mzuri ni mtu kama Mengi. Utaona mswahili anakaza shingo kuponda walioajiriwa na hapo hapo yeye unakuta anaduka mtaani ambalo kwa siku hana 30k kama faida sasa kuna haja gani kujiita mjasiriamali?? Pia ukumbuke tunategemeana wakati wewe unatotolesha vifaranga ili kufikia ndoto zako kuna anayewanunua hao vifaranga na kuwafuga kwa miezi mitano kabla ya kuuza wakiwa kuku tayari na huyo ameajiriwa anafanya tu kama side hustle.
 
Bibilia na utukufu wake woote imetaja kijakazi sembuse sisi wanadamu?hata obama aliajiriwa.
 
mawazo ya yako ni full upotoshaji umejawa na kiwango kisicho semekana cha uoga
jebu nitajie kwenye list ya fobbers ni wafanya kazi wangapi wako kwenye ile list? au Tanzania tu nitajie wafanya kazi matajiri

acha kuzungumzia kuwa na pesa ya kubadili mboga na kununua used car na kuwa na pesa ya kwenda ufukweni

Mengi anapesa anaweza hata enda kukaa kwenye visiwa vya Hawaii mwaka mzima anakula bata hizo ndo pesa
Mohamed Entreprises hana pesa ya kubadili mlo bali anapesa ya kuweza kuleta mtikisiko

acha kuleta story za mishara ya kukuwezesha kubadili milo na kununua used car na ukijitahidi sana unajenga nyumba
Acha kuongea nadharia mkuu, katika wajasiriamali wote ni percent ngapi wapo Forbes..., na wajasiriamali wangapi baada ya kulipa overheads wanabaki na minus (madeni)?

Unajua kitu kinaitwa opportunity cost ?, turudi scenario ya chuo, kufungua chuo (kwa lecturer) ambaye kama demand yake kubwa anaweza akafundisha part time (which is effective na which is efficient) kumbuka kufungua chuo hauhitaji kuwa lecturer, ila lecturer (ambaye capital yake ni ujuzi wake) anachofanya wewe huwezi kufanya..., anaweza akauza skills zake na bado part time ukamlipa per hour au contract akufanyie wewe kazi..., Mwisho wa siku being wealth ni matumizi yako bila kujinyima yasizidi mapato yako, na hao kina Mohamed Enterprises usidhani input wanayoweka ni kidogo (they work hard ku-maintain their assets) pia sio kila mfanyakazi hana mradi, kuna mwingine yupo kazini ila portifolio yake ana nyumba za kupangisha na shares kwenye hao ambao wapo Forbes List....

Usikariri mkuu, kuwa na Business sababu tu una Business hata ama haizalishi ni liability
 
Sio lazima uwe Forbes, as long as yeye amejijiri basi yeye ni mjanja make anawalipa mishahara kama nyie.

Una tetea sana
 
Bibilia na utukufu wake woote imetaja kijakazi sembuse sisi wanadamu?hata obama aliajiriwa.
Coment kama hizi ni sababu tosha ya jukwaa kupotea mvuto kama mdau mmoja alivyo sema. haihitaji utafiti zaidi ya huu
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba kwenye kujiajiri ndipo kuliko na mafanikio makubwa na uhuru wa kiuchumi ila si jambo la mzaha kama unavyopost tu apa. wengi walianza kuajiriwa kwa maana ya kupata mitaji ya hela then wameenda mbali na kuajiri wengine mfano mzuri ni mtu kama Mengi. Utaona mswahili anakaza shingo kuponda walioajiriwa na hapo hapo yeye unakuta anaduka mtaani ambalo kwa siku hana 30k kama faida sasa kuna haja gani kujiita mjasiriamali?? Pia ukumbuke tunategemeana wakati wewe unatotolesha vifaranga ili kufikia ndoto zako kuna anayewanunua hao vifaranga na kuwafuga kwa miezi mitano kabla ya kuuza wakiwa kuku tayari na huyo ameajiriwa anafanya tu kama side hustle.
Mmeisha kuwa Brain washed kwamba Biashara lazima kika siku ukamate laki kadhaa.

Hata kama kwa siku anapata faida elfu 5 au hata elfu 3 ni yake na yeye yuko kwenye orodha ya watu walio dhubutu.

Anapiga progress na siku moja atakuwa mbali sana.

Mimi binafisi naamini sitakufaga masikini na itakuwa hivyo.

Safari ya ujasiriamali ni kweli ni ngumu na ndo maana wengi wanaishia kutembea na CV kutafuta watu wa kuwaajiri
 
Bias mliyonayo ni kwamba ndoto hutimizwa kwa kujiajiri tu, si kweli. Ndoto zinaweza kutimizwa kwa kuajiriwa, Mfano: Mimi ndoto yangu tangu najielewa ilikuwa kusaidia watoto waishio mazingira magumu through my work na ninafanya hivyo kwenye organization niliyopo.

Mnapozungumzia ajira huwa mnawaza Mabank teller tu ee?
NGOs hazilipi tena mkuu ilikuwa zamani, kama unania ya kuwasaidia wewe wasaidie sio lazima NGOs wewe wasaidie na usitake hata watu wajue kwamba unawasaidia
 
Ishu sio makombora mkuu, jiulize watu wangapi wameajiriwa lakini wana maisha mazuri kuliko wewe?

Acha kukariri na vimiradi vyenu vya kuku hivyo boss. Maisha ni kuchagua, mwingine kaajiriwa lakini yuko so happy na kazi yake na mshahara wake, anatunza familia yake anaweka akiba yake sawa tu na wewe una miradi yako lakini kila siku presha, nani afadhali sasa?

Ukiwa na choice yako usilazimishe iwe kwa kila mtu na isiwe sheria!
Ahahaha.... 5-9 victim
 
Sio lazima uwe Forbes, as long as yeye amejijiri basi yeye ni mjanja make anawalipa mishahara kama nyie.

Una tetea sana
Kwahio unaanzisha biashara ili uonekane mjanja na uwalipe watu mishahara na sio kupata kipato efficiently ?

Pia kuna feel good factor mwingine anafanya kazi fulani sababu anaipenda (muuguzi au mwalimu) na akifungua hospitali au shule ile sio kuuguza au kufundisha bali ni field tofauti kabisa..., pia mkuu huyu mtu ili kupata extra income sio mpaka aache kazi au afungue chou/hospitali yake..., anaweza akaandika vitabu, akatoa semina au akatoa infoproducts huku bado yupo kazini anafanya anachokipenda ambacho pia kinamletea credibility ya kutoa hizo infoproducts
 
Back
Top Bottom