Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Eti kiNGO...JF is never boringkwa hiyo huwazi kujitegemea wewe kama wewe siku hicho kiNGO chenu kikifa utafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kiNGO...JF is never boringkwa hiyo huwazi kujitegemea wewe kama wewe siku hicho kiNGO chenu kikifa utafanyaje?
Naona unajua kila kitu hapa duniani. Hongera sana mkuuNGOs hazilipi tena mkuu ilikuwa zamani, kama unania ya kuwasaidia wewe wasaidie sio lazima NGOs wewe wasaidie na usitake hata watu wajue kwamba unawasaidia
UmeshanielewaMaisha mazuri ni yapi? Define maisha mazuri, Hata wanafunzi Chuoni wanaaisha mazuri.
Kwani mtaji maana yake ni nini? Hii ndio shida ya kuamini mtaji ni fedha! [emoji15]Utajiajiri vipi bila mtaji? Au hiyo shule na duka la nguo utavianzishia hewani? Watu wamesoma ndiyo, wanatamani kujiajiri ila tatizo ni mtaji.
Mkuu ukisema inaaminika-swali ni inaaminika na nani? Kuna utafiti wowote kuhusu hili? Vinginevyo sema unaamini hapo itaeleweka. Kama ni kweli inaaminika basi toa ushahidi. Kuhusu mshahara sijaona mahali popote ambapo mshahara unasemekana ni hongo-dhana hii wewe ndo umeitoa. Mshahara ni malipo yanalipwa kwa mtu anaetoa huduma halali kwa mtu au taasisi nyingine. Kila mmoja wetu anakua na malengo yake kuhusu maisha anayotaka, kila mmoja wetu mwenyezi Mungu kamjalia uwezo wa aina fulani na mazingira ya aina fulani-kutokana na hayo huamua njia ya kumfikisha malengo yake. Wengine huamua kujiajiri na wengine huamua kuajiriwa. Wengine huajiriwa na baadae huweka misingi wakajiajiri. Wako pia wenye kujiajiri lakini baadae huamua kuajiriwa. Kila kimoja kina faida zake na hasara zake.Inaaminika kwamba mishahara watu wanayo lipwa ni hongo ya kuwafanya watelekeze Ndoto zao na waanze kutekeleza ndoto za wale wanao wapatia mishahara.
Hii inapata Nguvu kwa sababu Msomi au mtu yoyote yule yuko tiyari aajiriwe kwenye duka la kuuza nguo lakini hayuko tiyari kufungua kibanda chake cha kuuza nguo.
Msomi yuko toyari aajiriwe kwenye kama mwalimu na mwenye shule lakini hawezi anzisha yake.
Hivyo mishahara ni hongo za kufanya watu waamuni kwamba Dream zao zina makosa na Dream za wale wanao walipa ndo ziko sahihi.
Bila mishahara watu wasinge neglect Dream zao.
Mmeisha kuwa Brain washed kwamba Biashara lazima kika siku ukamate laki kadhaa.
Hata kama kwa siku anapata faida elfu 5 au hata elfu 3 ni yake na yeye yuko kwenye orodha ya watu walio dhubutu.
Anapiga progress na siku moja atakuwa mbali sana.
Mimi binafisi naamini sitakufaga masikini na itakuwa hivyo.
Safari ya ujasiriamali ni kweli ni ngumu na ndo maana wengi wanaishia kutembea na CV kutafuta watu wa kuwaajiri
Yaan leo kaongea pumba..halafu i dont know he is always against employed people...jamani hatuwez wote kujiajiri lazma kuna watu waajiriwe na wengine wajiajiri...Hivi unahisi dunia nzima watu wanaweza kujiajiri na wasiwepo wakulipwa mshahara mkuu? Huwezi badili hii dhana duniani, kama wewe una biashara yako unapata hela na aliyeajiriwa anapata hela itoshe tunakutana sokoni wote kununua mahitaji. Mnawakandia sana waajiriwa asee.
Wafanyakazi utawajua tu, acha kujitoa ufahamu.Yaan leo kaongea pumba..halafu i dont know he is always against employed people...jamani hatuwez wote kujiajiri lazma kuna watu waajiriwe na wengine wajiajiri...
yani mtu ahangaike na 3000 kwa siku eti mradi tu aonekane na yeye kajiajiri wakati kuna ajira inayoweza kumlipa zaidi ya hivyo, we jamaa acha kudanganya watu na kujifanya mjuajiMmeisha kuwa Brain washed kwamba Biashara lazima kika siku ukamate laki kadhaa.
Hata kama kwa siku anapata faida elfu 5 au hata elfu 3 ni yake na yeye yuko kwenye orodha ya watu walio dhubutu.
Anapiga progress na siku moja atakuwa mbali sana.
Mimi binafisi naamini sitakufaga masikini na itakuwa hivyo.
Safari ya ujasiriamali ni kweli ni ngumu na ndo maana wengi wanaishia kutembea na CV kutafuta watu wa kuwaajiri
Anadanganya au wewe ndo unadanganya? coment yako tu inaonyesha nyie ndo wale mko radhi kutumikishwa usiku na mchana lakini hamko tiyari kuanzisha zenuWe ndo nyumbu kweli... yani mtu ahangaike na 3000 kwa siku eti mradi tu aonekane na yeye kajiajiri wakati kuna ajira inayoweza kumlipa zaidi ya hivyo, we jamaa acha kudanganya watu na kujifanya mjuaji wakati boya tu
Hahahaaa ndo kiwango chako cha kiwaza kimefikia Tamati, kwenye kuwaza hapo ndo mwisho wako. endelea kupiga Ramli tu.Mimi sijifichi n niko VerfiedHuyu Chasha Poultry Farm ndio huyo huyo anajiita MURUSI.akiona amezidiwa hoja anakuja na id nyingine inaitwa MURUSI anaanza kubishana,hii thread ya 4 nawasoma tu.
Ni upumbav huo.
Hance Mtanashati nakuomba uje kufanya upelelezi wa multple id uku
hahahaaaaaa asante sana maana sio wote tutakuwa wafanyabiashara, wakulima au wafugaji wengine wajigawa kwingine hayo ndo maishaIshu sio makombora mkuu, jiulize watu wangapi wameajiriwa lakini wana maisha mazuri kuliko wewe?
Acha kukariri na vimiradi vyenu vya kuku hivyo boss. Maisha ni kuchagua, mwingine kaajiriwa lakini yuko so happy na kazi yake na mshahara wake, anatunza familia yake anaweka akiba yake sawa tu na wewe una miradi yako lakini kila siku presha, nani afadhali sasa?
Ukiwa na choice yako usilazimishe iwe kwa kila mtu na isiwe sheria!